Sale!

NIFANYEJE ILI NIFANIKIWE?

Original price was: TZs 25,000.Current price is: TZs 8,900.

- +
Category:

 

“JE UNAJUA SIRI YA MAFANIKIO YA KIUCHUMI HAIANZI KWENYE MTAJI, BALI KWENYE AKILI YAKO?”

 

“Gundua msingi imara utakaokujenga na kukuimarisha kiuchumi, hata pale mambo yanapokuwa magumu. Anza safari yako ya utajiri wa kweli leo.”

 

 

 

 

 

              “Mafanikio ni zaidi ya kumiliki gari au nyumba…”

 

Watu wengi hukimbilia fursa na mawazo ya biashara bila kuwa na msingi. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili yako kama unataka:

 

✅ Kujenga msingi imara wa kifikra kabla ya kuanza biashara.

 

✅ Kufanikiwa kiuchumi iwe kwa kufanya biashara au hata kama umeajiriwa unaweza kujikwamua kiuchumi kupitia maudhui ya kwenye kitabu hiki

 

✅ Kuwa na uwezo wa kusimama tena hata pale unapopitia changamoto

 

 

 

Utakachojifunza ( Kilichomo Ndani Ya Kitabu)

 

✅Mtazamo Chanya: Jinsi ya kubadili namna unavyowaza kuhusu fedha.

 

✅Uimara wa Kiuchumi: Mbinu za kubaki imara mambo yanapoyumba.

 

✅Tafsiri ya Malengo ya Kiuchumi: Jinsi ya kuweka na kutimiza malengo yako ya kiuchumi kwa vitendo.

 

 

picha ya mwandishi

Mwandishi Adelina Stambuli

 

KUHUSU MUANDISHI WA KITABU HIKI

 

“Adelina Stambuli, ni mwandishi na mdau wa maendeleo ya kiuchumi aliyejikita katika kusaidia watu binafsi na wafanyabiashara wadogo kubadili mifumo yao ya kifikra ili kupata matokeo chanya.

 

Kupitia uzoefu wake katika masuala ya biashara na mahusiano ya kiuchumi, Adelina anachambua misingi ya mafanikio kwa lugha rahisi inayoeleweka na kila mtu. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu wa vitendo unaolenga kuleta mapinduzi ya kifikra kwa yeyote anayetafuta uhuru wa kweli wa kiuchumi.”

 

“Ninaamini ndani yako kuna uwezo mkubwa, tuanze safari hii ya mabadiliko pamoja.”

 

 

split 1m (1)

“Baada ya kuachishwa kazi ghafla mwaka jana, nilichanganyikiwa na skujua nifanye nini. Kupitia kitabu cha Adelina, nimejifunza namna ya kusimama tena. Kitabu chake kimenipa ujasiri wa kuanza upya na sasa nina mradi wangu unaonipa kipato.”

Emmanuel Samwel

 

split 3m (1)

“Kabla ya kusoma kitabu hiki, mshahara wangu ulikuwa unaisha kabla hata katikati ya mwezi. ‘Nifanyeje Ili Nifanikiwe’ kimenifundisha siri ya kugawa kipato changu na kuanza kuwekeza kidogo kidogo. Ni mwongozo ambao kila mwajiriwa anapaswa kuwa nao mezani kwake!”

Juma Mwalimu

 

split 1n (1)

“Adelina Stambuli ameelezea mambo magumu ya uchumi kwa lugha ya Kiswahili inayoeleweka na kila mtu. Ni mwongozo muhimu kwa kila mtu anayetamani kufanikiwa kiuchumi.Kitabu hiki kimenifanya nipige hatua kubwa sana kwenye safari yangu ya kujiongezea kipato changu cha kila siku.”

Amina Mwinuka

 

split 4m (1)

“Nilikuwa na ile dhana ya ‘nikistaafu ndio nitaanza biashara’. Adelina amevunja hiyo dhana kitaalamu sana. Kitabu chake kimenipa mbinu za kuanza kuwekeza kidogo kidogo sasa hivi bila kuathiri saa zangu za kazi.” — , Meneja Mauzo

YASINTA MACHUMU

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “NIFANYEJE ILI NIFANIKIWE?”

Your email address will not be published. Required fields are marked *